http://www.swahiliebgc4lpd7xcpitlp6ilzdgk6atnhnzqohywcgtr7jbcrq6fqd.onion/a/zelenskyy-asema-ameidhinisha-mpango-wa-kurekebisha-mifumo-ya-uhalifu-na-sheria/7090797.html
Huku ikipambana na uvamizi wa Russia, Ukraine tayari imetuma maombi ya uanachama katika jumuiya hiyo yenye mataifa wanachama 27. Rais Zelenskyy alisema:“ Lengo letu ni kuanzisha mfumo ambao unahakikisha haki na sheria na utulivu katika nchi yetu, na pia kuzingatia lengo letu kwa Ukraine kuingia haraka katika EU.