http://www.swahiliebgc4lpd7xcpitlp6ilzdgk6atnhnzqohywcgtr7jbcrq6fqd.onion/a/pande-zinazozozana-nchini-sudan-zakubaliana-kuruhusu-misaada-kuingia-nchini/7090135.html
Shirikisha Pande zinazozozana nchini Sudan zakubaliana kuruhusu misaada kuingia nchini share Print Marekani Alhamisi imeishutumu Afrika Kusini kuipa silaha Russia katika vita vyake nchini Ukraine kwenye operesheni ya siri ya siku tatu ya majeshi ya majini karibu na mji wa Cape Town mapema mwezi Disemba mwaka jana. Wawakilishi wa jeshi na kikosi cha wanamgambo, ambao wamekuwa wakipigana kwa karibu mwezi mmoja, walisaini makubaliano mjini Jeddah, Saudi Arabia kwa “tamko la nia ya dhati...